1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakenya wadai haki baada ya kupokonywa ardhi na Uingereza

02:02

This browser does not support the video element.

Yusra Buwayhid
7 Novemba 2019

Kibore Cheruiyot alikuwa mvulana mdogo wakati familia yake ilipofukuzwa na wakoloni wa Uingereza kutoka katika ardhi ya babu zao huko nyanda za juu kunakolimwa majani ya chai Kenya. Miaka 85 baadae , watu wa jamii za Kipsigis na Talai wanataka uchunguzi wa Umoja wa Mataifa juu thulma hiyo iliyofanywa na Uingereza.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW