1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakenya wataka usalama kwa wanajeshi

26 Mei 2017

Viongozi wa kisiasa wanataka serikali kuchukua hatua kukomesha mashambulizi ya kigaidi kwenye mpaka wa Kenya na Somalia. Maafisa 11 wa usalama wameuliwa na mabomu ya kutegwa ardhini Mandera na Liboi.

Askari wa Kenya
Picha: Getty Images/AFP/AU-UN Ist Photo/S. Price

J2.26.05.2017 Kenya gov't blamed for spate of killings - MP3-Stereo

This browser does not support the audio element.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW