Mapigano ya hivi karibuni baina ya jeshi la Kongo na waasi wa M23 yasababisha wimbi jipya la wakimbizi wa ndani. Makumi ya maelfu ya raia wakimbia makaazi yao kwenye mkoa wa Rutshuru na wanaishi katika hali ngumu. Wakimbizi hao wandani wanahitaji misaada. #Kurunzi