1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakimbizi wanapolilia haki yao ya kupiga kura huko Kongo.

03:26

This browser does not support the video element.

20 Desemba 2023

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inafanya uchaguzi wake mkuu hii leo. Lakini upande mwingine wa eneo hilo, huko Goma wakimbizi wanalalama kwamba wanatengwa na wananyimwa haki yao, huku wakiomba amani, amani, amani. Tizama video hii iliyoandaliwa na Benjamin Kasembe kuwasikiliza

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW