1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakongomani na mtindo wa Sape

02:36

This browser does not support the video element.

Sylvia Mwehozi
16 Machi 2021

Sape ni mtindo maarufu sana kwa wanaume wa kikongo wanaovaa nadhifu na maridadi. Wanachama wake hupendelea nguo za kifahari na zenye majina makubwa. Zamani wakiagiza nguo hizo kutoka nje, lakini sasa kuna wabunifu wa ndani. #77asilimia #vijanamubashara

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW