1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

WAKOSA AJIRA WAONGEZEKA UJERUMANI:

5 Desemba 2003
NUREMBERG: Katika mwezi wa Novemba,nchini Ujerumani,idadi ya watu wanaotafuta ajira imeongezeka kwa 33,000.Kwa mujibu wa Idara ya Ajira ya Ujerumani,mwezi uliopita kiasi ya watu milioni 4.2 hawakuwa na ajira.Mkuu wa Idara ya Ajira-Florian Gerster amewaambia maripota mjini Nuremberg,kuwa hakuna matarajio kwamba hali ya soko la ajira itaboreka kwa kiwango cha maana,kabla ya kati kati mwakani.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW