Wakuu wa ujasusi Afrika wakutana KigaliSylivanus Karemera05.08.20165 Agosti 2016Mkutano huo unaojumuisha viongozi wa nchi 51 na ulio wa faragha umefunguliwa na Rais Paul Kagame wa Rwanda. Viongozi wanajadili kupambana na vitisho vya usalama kutoka ndani na nje ya bara la Afrika.Nakili kiunganishiPicha: DW/S. KaremeraMatangazo[No title]This browser does not support the audio element.