Ndonya ni moja ya utamaduni maarufu miongoni mwa jamii za wamakonde na makabila mengine kama wamakua, wamatambwe nchini Tanzania. Hapo zamani ulitumika kutambulisha urembo wa mwanamke. Hata hivyo tamaduni hiyo hivi sasa inakwenda inafifia. #kurunzi 17.05.2021