Polisi Dar es salaam inawashikilia wanachama wa CUF wapatao 22 kutoka Zanzibar kwa tuhuma za kutaka kufanya uhalifu katika makao makuu ya chama hicho. Walikutwa na zana za kujihami kama visu na mapanga.
Simon Sirro, Mkuu wa Polisi Dar es SalaamPicha: DW/H.Bihoga