Wanaharakati Kenya wabwagwa uchaguzi mkuu
15 Agosti 2017Matangazo
Mmoja wao ni mwanaharakati wa haki za binadamu, Gacheke Gachihi, ambaye aliwania nafasi za ubunge na kushindwa. Kipi hasa kiliwaangusha wagombea kama hawa? Isaac Gamba amezungumza na Gachihi akiwa jijini Nairobi.