Wanaharakati wa mazingira watunza fukwe za Msumbiji
29 Aprili 2016
Uchafuzi wa mazingira ni tatizo sugu kwa Msumbiji. Athari za kukosekana mfumo mzuri wa ukusanyaji taka zinadhihirika kwenye pwani ambako kuna mlundikano wa taka. Mtaalamu wa sheria na mazingira ameamua kuchukua hatua.
Matangazo
Wanaharakati wa mazingira watunza fukwe za Msumbiji