Mwanafunzi wa Kimarekani Otto Warmbier aliyekuwa amefungwa nchini Korea Kaskazini amefariki. Polisi nchini Uingereza imefanya msako katika makazi ya mtuhumiwa aliyeshambulia msikiti mmoja jijini London. Na zaidi ya wanajeshi 600 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanarudishwa nyumbani kutokana na tuhuma za ubakaji. Papo kwa Papo 20.06.2017