1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanajeshi wa kike Ukraine wapata magwanda

02:52

This browser does not support the video element.

21 Desemba 2022

Wakati nchi yao ilipovamiwa na Urusi miezi 10 iliyopita, wanawake kadhaa wa Ukraine waliamua kujiunga na wanaume kwenda mstari wa mbele kupambana na wavamizi, lakini miongoni mwa matatizo waliyokabiliana nayo ni ukosefu magwanda ya kijeshi, hadi pale wabunifu wa mitindo walipojitolea kushona sare maalum za wanawake.