1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanariadha wa Korea Kaskazini kuiwakilisha kwenye Olimpiki

00:55

This browser does not support the video element.

11 Januari 2018

Je, michezo inaweza kutumika kuunganisha watu waliogawanyika? Wanariadha wa michezo ya kuteleza katika barafu kutoka Korea mbili zinazovutana za Kusini na Kaskazini wanatarajiwa kusaidia katika kujenga tena urafiki kati ya majirani hao mahasimu wakati wa michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi itakayofanyika Pyeongchang, Korea Kusini.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW