Chama cha wanasheria wa Tanganyika TLS kimesema kuwa kitafanya uchaguzi kwa sheria zilizochapishwa katika gazeti la serikali lakini hakitazingatia vipengele vyote vinavyowagawa wanachama wake.
Picha: DW/H. Bihoga
Matangazo
J3.23.03.2018-Dar: Tanzania Lawa Society - MP3-Stereo
This browser does not support the audio element.
Hayo yamewekwa wazi na makamu wa rais wa chama hicho Godwin Simba Ngwilimi huku baadhi ya wanachama wakisema hizo ni dalili za serikali kuingilia uhuru wa chombo hicho kilichopo kwa mujibu wa sheria.