MichezoZawadi miongoni mwa wanamichezo zazua sintofahamu01:25This browser does not support the video element.MichezoLilian Mtono13.01.202513 Januari 2025Zawadi zilizotolewa kwenye michuano ya kuruka kwenye theluji nchini Ujerumani zimezua tafrani, baada ya mshindi kwa upande wa wanawake kuzawadiwa sabuni za kuogea. Kulikoni? Tizama zaidi. #KurunziNakili kiunganishiMatangazo