Maradhi ya kufanya nyama kwenye fuko la uzazi, yanayojuilikana kama mayoma au fibroids, yanawakumba asilimia kubwa ya wanawake katika mataifa masikini, likiwemo bara la Afrika, jambo ambalo linazidi kuhatarisha afya zao.
Matangazo
Salma Said azungumzia namna ugonjwa wa Mayoma unavyoathiri maisha ya mwanamke, matibabu yake na uzoefu wa watu waliowahi kuuguwa na kutibiwa.
Mtayarishaji/Msimulizi: Salma Said Mhariri: Othman Miraji