1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake DRC waanzisha mradi wa kilimo kuwalisha wafungwa

02:43

This browser does not support the video element.

27 Aprili 2022

Kurunzi Wanawake inakupeleka Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambako baadhi ya Wanawake wilayani Kabare, wameanzisha mradi wa kilimo cha mbogamboga ili kuwalisha wafungwa wa gereza la Kabare. Mitima Delachance amezungumza nao katika vidio hii #kurunziwanawake 27.04.2022

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW