Kazi kama ya useremala ni kazi iliyozoeleka kufanywa na wanaume, Lakini kundi moja la wanawake nchini Uganda limeamua kubadilisha hilo. Rita, Phoebe na Mary ni maseremala shupavu wanaopambana na kuvuma katika kazi hiyo iliyozoeleka kufanywa na wanaume zaidi.