Wanawake na biashara ya mvinyo12.03.201312 Machi 2013Grace Kabogo anaangazia miradi ya wanawake wanaosindika mvinyo, chakula na matunda na namna miradi hiyo inavyowaondoa wanawake hao kwenye utegemezi na kuwajengea uwezo wa kujisimamia mambo yao wenyewe.Nakili kiunganishiRotwein Einschank mit EssenPicha: Fotolia/Nick FreundMatangazo