1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake na vipepeo

03:56

This browser does not support the video element.

18 Agosti 2021

Unafahamu kuwa Vipepeo ni Fursa? Kutana na wanawake wapambanaji wanaojituma kupitia mradi wa kufuga Vipepeo wa Gede, Malindi nchini Kenya. Wanaishi kandokando ya msitu wa Arabuko ambapo sasa wanaendesha maisha yao kupitia ufugaji huo. Video na Thelma Mwadzaya. Kurunzi wanawake 18.08.2021

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW