JamiiWanawake Nigeria wachangamkia soka01:53This browser does not support the video element.JamiiYusra Buwayhid12.06.201912 Juni 2019Kutokana na dhana potofu kuwa wanawake hahawezi kucheza mpira wa miguu, nchini Nigeria timu ya soka ya wanawake kwa jina la Kanduna inataka ina azma ya kubadilisha mtazamo huo. Nakili kiunganishiMatangazo