1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake Tanzania waandamana kupambana na huduma mbaya za Afya

6 Oktoba 2009

<p>Nchini Tanzania asasi zisizokuwa za kiserikali zipatazo 18 zimeandaa jukwaa lililo la wazi kujadili na kupeana changamoto katika kupambana na unyanyasaji kijinsia na vifo vya akina mama na watoto.

.Jukwaa hilo lilianza na maandamano kutoka hospitali ya taifa ya Muhimbili hadi viwanja vya leaders club vilivyoko kinondoni jijini Dar es Salaam. Mwandishi wetu wa Dar es Salaam Hawra shamte na ripoti kamili.

Mwandishi:Hawra Shamte

Mpitiaji:Jane Nyingi

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi