Wanawake wa Irak kaskazini wanaendeleza harakati za kutafuta haki18.10.200618 Oktoba 2006Miaka 18 iliyopita wanawake hao waliwapoteza wapendwa wao katika operesheni iliyoitwa Anfal iliyo endeshwa na askari wa Saddam Hussein.Nakili kiunganishiMatangazoSikiliza kipindi cha wanawake na amaendeleo kutoka radio DW idhaa ya kiswahili.