1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake walioshikwa mkono baada ya maisha magumu

04:07

This browser does not support the video element.

16 Novemba 2023

Kurunzi Wanawake inamulika harakati za baadhi ya wasichana na wanawake walioanza maisha kwa mazingira magumu, ikiwemo mimba za utotoni au hata ukandamizaji wa kimila. Lakini baadaye, wakashikwa mkono na taasisi zinazotoa msaada wa kijinsia na hivi sasa wanaendesha maisha yao kwa kutegemea ujuzi na stadi walizopata. Ahmed Jumma ndiye amewatembelea na kutayarisha vidio hii.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW