JamiiWanawake wanaweza02:54This browser does not support the video element.JamiiSaumu Njama21.09.202221 Septemba 2022Je unaweza kukubali gari lako liundwe na fundi magari mwanamke? Kutana na Riziki Hamisi kutoka Mombasa anayeondoa dhana kwamba kazi hii ni ya wanaume pekee.Nakili kiunganishiMatangazo