JamiiAfrikaWanawake wavuna mchanga Kivu Kaskazini01:55This browser does not support the video element.JamiiAfrika29.09.202129 Septemba 2021 Kutana na wanawake wanaofanya biashara ya kuvuna mchanga huko Kivu Kaskazini, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo. Ni kazi ngumu kwao lakini wanaifanya kwa moyo mmoja ili kukidhi mahitaji ya familia zao. Video na Benjamin KasembeNakili kiunganishiMatangazo