HistoriaWangari Maathai: Mwanaharakati asiye ogopa02:43This browser does not support the video element.HistoriaYusra Buwayhid03.03.20203 Machi 2020Uamuzi wa kumtunza mwanaharakati wa mazingira Tuzo ya Amani ya Nobeli ilishangaza wengi mwaka 2004. Lakini pia ilitilia msisitizo mchango wa Vuguvugu la Ukanda wa Kijani la Wangari Maathai katika kujenga jamii yenye Amani na iliyo endelevu. Nakili kiunganishiMatangazo