1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanne wauwawa katika makabiliano ya risasi Iran

14 Agosti 2023

Watu wanne wameuawa katika shambulizi kwenye eneo takatifu la ibada la madhehebu ya Shia nchini Iran.

Iran | Schießerei in Shiraz
Picha: Mohammadreza Dehdari/ISNA/AP Photo/picture alliance

Watu wengine 7 walijeruhiwa katika shambulizi hilo lililofanywa na watu wawili.Kulingana na shirika la habari la Iranian Students' News Agency (ISNA), waliouawa kwenye eneo hilo la Shah Cheragh, ambalo ni takatifu zaidi nchini humo, ni pamoja na watumishi wawili na mahujaji wawili.Kundi la wanamgambo la IS limedai kufanya shambulizi hilo.Oktoba 2022, na kuwaua watu 13 na wengine zaidi ya 20 walijeruhiwa, wakati kundi hilo la itikadi kali likiwaelezea Washia kama waliouasi Uislamu.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW