1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanyarwanda wachagua bunge jipya

00:59

This browser does not support the video element.

3 Septemba 2018

Raia wa Rwanda wamepiga kura leo katika uchaguzi wa bunge unaotarajiwa kukipa ushindi mkubwa chama tawala cha rais Paul Kagame, mwaka mmoja tangu alipochaguliwa kwa asilimia 98 ya kura.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW