1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waonaje aina ya saa 'Caveman' zinazotengenezwa Ghana?

03:32

This browser does not support the video element.

4 Aprili 2023

Saa za kwanza kutengenezwa Ghana zilianza kuuzwa kwenye vituo vya magari lakini sasa zinauzwa hadi kwenye maduka makubwa ya kimataifa. Kutana na Antony Dzamefe, mbunifu wa saa hizo na anaeleza ni kwa nini saa zake hupendwa.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW