1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

WAPALESTINA 3 WAPIGWA RISASI:

8 Januari 2004

NABLUS: Wapalestina 3 wameuawa baada ya kupigwa risasi na vikosi vya Israeli vilivyovamia miji ya Nablus na Tulkarem katika Ukingo wa Magharibi.Kwa mujibu wa vyombo vya habari Wapalestina hao walikuwa wanachama wa makundi ya wanamgambo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW