Mgomo na maandamano kuendelea Gaza kuomboleza mauaji ya wenzao 58 waliouwawa na jeshi la Israel.Kadhalika wapalestina hao waliouwawa watazikwa leo.Kundi la Hamas limesema maandamano yataendelea ikiwa leo wapalestina wanaadhimisha siku ya janga inayofahamika kama NAKBA ikiwa ni kumbukumbu ya mauaji yaliyotokea katika vita vya Mashariki ya kati baada ya kuundwa taifa la Israel 1948