SiasaWapiga kura Uganda wahakiki vituo vyao02:39This browser does not support the video element.SiasaSaleh Mwanamilongo08.01.20218 Januari 2021Wapiga kura nchini Uganda wamo katika pilikapilika za kuhakikisha kuwa majina yao yamo kwenye daftari la shughuli hiyo itakayofanyika Alhamisi tarehe 14 mwezi huu wa Januari 2021.#Kurunzi 07/01/2021Nakili kiunganishiMatangazo