1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wapigaji kura walirauka Nairobi

02:02

This browser does not support the video element.

9 Agosti 2022

Takriban wapiga kura 12,065,803 walikuwa wamejitokeza kupiga kura, nchini Kenya sawa na asilimia 56.17 kufikia saa kumi jioni. Tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC ilisema idadi hiyo haijumuishi wale waliotambuliwa na sajili ya daftari. Tazama kwenye video hii wapiga kura waliorauka jijini Nairobi. #KenyaYaamua2022

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW