JamiiWapigania mtaa kuondolewa jina la kibaguzi 02:34This browser does not support the video element.Jamii27.08.202027 Agosti 2020Ni wanaharakati huko mjini Berlin ambao wameshinikiza na hatimaye kufanikiwa kuondoloewa kwa jina la mtaa linaloashiria ubaguzi wa rangi na kudhalilisha mtu mweusi.#KurunziUjerumani Nakili kiunganishiMatangazo