Wapinzani DRC wasusia mazungumzo ya uchaguzi
13 Aprili 2016Matangazo
Mazungumzo hayo yatakayowashirikisha wadau wote ifikapo mwishoni mwa wiki hii yamepingwa vikali na wapinzani wengi. Sudi Mnette amezungumza na Emerie Damien Kalwira, kiongozi wa Umoja wa Wakongo wenye kupigia debe serikali ya mpito (CCT) na kwanza alitaka kujua kwa nini wanapinga kushiriki mazungumzo hayo kwa wakati huu.