JamiiWarembo wenye ulemavu wa kusikia barani Afrika03:30This browser does not support the video element.Jamii08.10.20218 Oktoba 2021Mrembo Josephine Kiden toka Sudan Kusini ametwaa taji lakuwa mrembo namba moja Afrika kwa upande wa wanawake,akifuatiwa na mrembo namba mbili Khadija Kanyama toka Tanzania.Nakili kiunganishiMatangazo