1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

WASHINGTON: Waziri Rice akosoa mfumo wa demokrasia Urusi

11 Mei 2007

Siku chache kabla ya kufanya ziara yake ya Moscow,waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Condoleezza Rice ameeleza wasi wasi wake kuhusu mfumo wa demokrasia nchini Urusi.Wakati huo huo ameituhumu serikali ya Moscow kuwa juhudi za kufanya mageuzi zimerudi nyuma akisema kwa mfano, uhuru wa vyombo vya habari umewekewa vizingiti. Waziri Condoleezza Rice anatazamiwa kuizuru Urusi wiki ijayo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW