Wasichana – Kipindi 5 – Udhalilishaji kingono II21.03.201121 Machi 2011Katika sehemu hii ya pili, Bibiy amegundua kuwa mmoja wa marafiki zake wakubwa alifanyiwa visa vya udhalilishaji kingono na mjomba wake na sasa ni mjamzito. Kwa hivyo ameanzisha harakati za kutafuta haki ya kisheria.Nakili kiunganishiMatangazo