Wasichana – Kipindi 6 – Michezo21.03.201121 Machi 2011Bibiy na rafiki zake wanacheza kandanda na vijana wa kiume. Wanakuwa na ndoto ya kuwa na timu ya kandanda ya wanawake kwenye kombe la dunia. Tufuatilie jinsi mchezo unavyokwenda.Nakili kiunganishiMatangazo