Wasichana – Kipindi 7 – Unyanyasaji majumbani21.03.201121 Machi 2011Katika kipindi hiki, Bibiy anamsaidia rafiki yake Tamara mwenye umri wa miaka 14, ambaye amenyanyaswa na mama yake wa kambo. Alipewa kazi nyingi za ndani kiasi cha kushindwa kwenda shule.Nakili kiunganishiMatangazo