Wasichana – Kipindi 9 – Kazi21.03.201121 Machi 2011Katika kipindi hiki tutazungumzia ushauri wa kazi kwa wasichana. Mwalimu anatoa nafasi ya kuulizwa maswali juu ya kujenga mwelekeo wa kupata kazi. Bibiy na rafiki zake wanazungumzia ndoto ya kazi wanazozitaka.Nakili kiunganishiMatangazo