JamiiAfrikaWasichana wajiandaa na sikukuu ya Eid02:59This browser does not support the video element.JamiiAfrikaTatu Yahaya31.03.202531 Machi 2025Zimesalia siku chache waumini wa dini ya kiislamu kukamilisha ibada muhimu ya funga, inayofuatiwa na shamrashamra za sikukuu ya Eid. Wasichana wamejipanga kusherehekea siku hiyo kwa namna gani?Nakili kiunganishiMatangazo