SiasaWasiwasi kutokana na kitisho cha usalama Mandera Kenya01:26This browser does not support the video element.Siasa11.02.202111 Februari 2021Hofu inaendelea kuwanyemelea wakaazi wa Mandera nchini Kenya kufuatia kitisho cha wanamgambo kutoka nchi jirani. Kulingana na na gavana wa kaunti hiyo Ali Roba, zaidi ya shule 100 hazijafunguliwa kwa sababu ya hofu za usalama. Nakili kiunganishiMatangazo