Wachangamwe ni miongoni mwa makabila matatu makuu ya waswahili wa Mombasa, pwani ya Kenya maarufu ya Thalatha Taifa. Walikuwa wenyeji wa Changamwe na maeneo ya karibu hadi upande wa magharibi mwa kisiwa cha Mombasa. Tazama video kuona wanavyohifadhi utamaduni wao.