1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waswahili wanavyozilinda tamaduni zao

03:36

This browser does not support the video element.

12 Novemba 2024

Katika ulimwengu wa sasa, ni kweli kwamba utandawazi umeifanya dunia kuwa kijiji kimoja, lakini pia umeathiri tamaduni za asili, hasa za Kiafrika. Tamaduni nyingi, ikiwemo za Waswahili, zinakumbwa na changamoto kubwa ya kupotea au kubadilika kutokana na ushawishi wa tamaduni za Kimagharibi kupitia mitandao ya kijamii na vyombo vya habari.

Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW