1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watanzania wa mlilia Magufuli

02:53

This browser does not support the video element.

18 Machi 2021

Watanzania wamepokea kwa mshtuko na simanzi kubwa taarifa za kifo cha Rais John Magufuli ambae alijipambanua kama kiongozi wa wanyonge, akijinadi kama mtu alietaka haki kwa matabaka yote ya watu nchini mwake.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW