JamiiAfrikaWatanzania waendelea kumkumbuka Mkapa02:01This browser does not support the video element.JamiiAfrika28.07.202028 Julai 2020Kurunzi Live imetembelea kijiji cha Lupaso alikozaliwa na kukulia marehemu rais mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa. Huko mwenzetu Salma Mkalibala alitupia jicho huku na huko na kuzungumza na baadhi ya wakazi kusikia wanamkumbukaje? KurunziNakili kiunganishiMatangazo