JamiiWatanzania watoa hisia mbalimbali kumuomboleza Mkapa02:36This browser does not support the video element.Jamii24.07.202024 Julai 2020Tumewauliza watanzania watamkumbuka vipi kiongozi huyo aliyekuwa rais wa tatu wa taifa hilo la Afrika Mashariki tangu mwaka 1995-2005. Na wewe tufahamishe, kitu gani kinakuja haraka kichwani likitajwa jina la Benjamin Mkapa?Nakili kiunganishiMatangazo